Sweet bite

cc_africa

Senior Member
Joined
May 30, 2010
Posts
121
Reaction score
2
A.AL3IKUM. WANDUgu. KARIBUNI KATIKA HOTELI MPYA INAYOITWA SWEET BITE ILIYOKO ARUSHA KARIBU NA STENDI KUU YA MKOA. Kuna vyakula vya aina tofauti*tofauti.wale wakazi wa arusha mnakaribishwa sana na wageni pia nakaribishwa sana. Pia 2napokea oda za maofisin.Karibuni sana!!!!
 
picha pls.vyumba bei gani kwa siku?
 
kwa upande upi mkuu, ipo karibu na wapi?...tupe daireksheni tuje tukuungishe mkuu
 
Wadau simaanishi hotel ya kulala. Ni sehemu ya kula chakula,chai, chakula cha mchana, na jioni. Nafkiri mushanfahamu!!!
 
Ipo jengo la stedium karibu na mlango mkuu wa kuingilia. Inakaribiana na stendi ya mgamba bus.
 
Wadau simaanishi hotel ya kulala. Ni sehemu ya kula chakula,chai, chakula cha mchana, na jioni. Nafkiri mushanfahamu!!!

..............hio ni restaurant na sio HOTEL............
 
Ok unajua lugha zinapisha watanzania 2mezoea kusema hotel. Utasikia hotel flani chakula chao kizuri sna!! Sasa pia 2anze kuwarekesha w2 2sio wajua. Ni maoni 2.
 
Ok unajua lugha zinapisha watanzania 2mezoea kusema hotel. Utasikia hotel flani chakula chao kizuri sna!! Sasa pia 2anze kuwarekesha w2 2sio wajua. Ni maoni 2.

... come again ?? :confused3:
 
Wadau simaanishi hotel ya kulala. Ni sehemu ya kula chakula,chai, chakula cha mchana, na jioni. Nafkiri mushanfahamu!!!
Hii ni restaurant basi au mgahawa.... Ukisema hotel moja kwa moja mtu anapata picha ya malazi na chakula na huduma nyingine ndugu.
 
Restaurant ni Mkahawa kwa kiswahili kizuri(halisi) na Mgahawa ni kile cha ulevi (kiso sanifu/makapi) pia mwenye huo mkahawa tunakushukuru sana kwa kutuongezea mganga mwingine wa tumbo(deni la dunia) inshaalah mungu akipenda tukiwasili tu mjini Arusha basi tutakuja kujitibu. Kazi njema na Mwenyezi mungu akupe uvumilivu katika mapambano yako ya kila siku.
 
Tunashukuru sana weekend hii tutakuwa hapo,Preta na PJ jiandaeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…