Sweet sweet Pipi. Bongo tuna vipaji we acha tu

Sweet sweet Pipi. Bongo tuna vipaji we acha tu

Hofstede

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2007
Posts
3,577
Reaction score
1,109
Bongo tumejaaliwa kwa vipaji vya music jamani lol!. Anaitwa pipi eti!
 
Last edited by a moderator:
sioni kama kuna kipaji chochote zaidi ya kututega tu na paja lake. Hawazi kuwa na kipaji kizuri kukishinda cha akina Rah P, Ray C, Jay Dee and the likes. Huyu naona anafanya matangazo ya paja!
 
sioni kama kuna kipaji chochote zaidi ya kututega tu na paja lake. Hawazi kuwa na kipaji kizuri kukishinda cha akina Rah P, Ray C, Jay Dee and the likes. Huyu naona anafanya matangazo ya paja!

ukiwa unasikiliza radio utaona wapi paja, zungumzia wimbo wake achana na paja wapenda minofu tumetulia.
mbona hao uliowataja wanaonyesha mapaja JD mbona anaonyesha au kwa kuwa ni mfupa na ngozi ndio maana huoni.
 
sijaipenda kama ya 20% binti kimanzichana
 
Back
Top Bottom