sioni kama kuna kipaji chochote zaidi ya kututega tu na paja lake. Hawazi kuwa na kipaji kizuri kukishinda cha akina Rah P, Ray C, Jay Dee and the likes. Huyu naona anafanya matangazo ya paja!

ukiwa unasikiliza radio utaona wapi paja, zungumzia wimbo wake achana na paja wapenda minofu tumetulia.
mbona hao uliowataja wanaonyesha mapaja JD mbona anaonyesha au kwa kuwa ni mfupa na ngozi ndio maana huoni.