Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona yanalimwa kila sehemu isipokuwa ukuaji na ustawi wake si wa kasi km mahindi meupe. Mahindi ya njano yanahitaji matunzo sana na hata production per Ha ni chini kuliko mahindi meupe japo bei yake mara nyingi huwa ipo juu.Habari wapendwa,
Mwenyewe utaalamu kidogo wa mahindi ya njano(sweet corn)
Ningeomba kujua jinsi ya kulilima hapa Tanzania, na je linaweza kustawi Tanzania
Asanteni