M Mmlove New Member Joined Mar 14, 2021 Posts 1 Reaction score 0 Nov 4, 2022 #1 Habari wapendwa, Mwenyewe utaalamu kidogo wa mahindi ya njano(sweet corn) Ningeomba kujua jinsi ya kulilima hapa Tanzania, na je linaweza kustawi Tanzania Asanteni
Habari wapendwa, Mwenyewe utaalamu kidogo wa mahindi ya njano(sweet corn) Ningeomba kujua jinsi ya kulilima hapa Tanzania, na je linaweza kustawi Tanzania Asanteni
Kamgomoli JF-Expert Member Joined May 3, 2018 Posts 1,896 Reaction score 4,058 Nov 4, 2022 #2 Mmlove said: Habari wapendwa, Mwenyewe utaalamu kidogo wa mahindi ya njano(sweet corn) Ningeomba kujua jinsi ya kulilima hapa Tanzania, na je linaweza kustawi Tanzania Asanteni Click to expand... Mbona yanalimwa kila sehemu isipokuwa ukuaji na ustawi wake si wa kasi km mahindi meupe. Mahindi ya njano yanahitaji matunzo sana na hata production per Ha ni chini kuliko mahindi meupe japo bei yake mara nyingi huwa ipo juu.
Mmlove said: Habari wapendwa, Mwenyewe utaalamu kidogo wa mahindi ya njano(sweet corn) Ningeomba kujua jinsi ya kulilima hapa Tanzania, na je linaweza kustawi Tanzania Asanteni Click to expand... Mbona yanalimwa kila sehemu isipokuwa ukuaji na ustawi wake si wa kasi km mahindi meupe. Mahindi ya njano yanahitaji matunzo sana na hata production per Ha ni chini kuliko mahindi meupe japo bei yake mara nyingi huwa ipo juu.