Swetie!! Honey!! Babie!!! Darling?? Lolipop??

Sharo hiphop

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
660
Reaction score
104
Nenda kaangalie avatar ya Cheusi mangala, kama una sifa zinazofanana na hiyo avatar nitafute kwenye facebook. Isaac Emanuel Qaymo.
Usiwe mwanafunzi wa primary au secondary, nisije nikaozea segerea!
Umri usizidi miaka 22.
 
Aisee nimekuta ujumbe wako kule kwenye uzi... ikabidi nitafute kama Sharo kweli katuma...lol
Sasa Sharohphp umeniambia kua si mzaha but naona kama umefanya haraka rafiki...
Alafu huo uzi the way tu ulivyoandika inaonesha hukutulia... enway your are 22 bado unajifunza
Kwa umri huo ungekua mdogo wangu ukaniomba ushauri ningekwambia bado wakati wake
wa wewe kutafuta girl friends kwa mtandao mana bado una mengi ya kujifunza...
Sikulaumu lakini nilisha kuonya Cheusi's Avatar itakkumalaza....
 
hapana mi sio 22, bt I jus nid galfrnd with nt mo thn that ag, am aprochn 25 yaz
 
Back
Top Bottom