Sharo hiphop
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 660
- 104
Aisee nimekuta ujumbe wako kule kwenye uzi... ikabidi nitafute kama Sharo kweli katuma...lol
Sasa Sharohphp umeniambia kua si mzaha but naona kama umefanya haraka rafiki...
Alafu huo uzi the way tu ulivyoandika inaonesha hukutulia... enway your are 22 bado unajifunza
Kwa umri huo ungekua mdogo wangu ukaniomba ushauri ningekwambia bado wakati wake
wa wewe kutafuta girl friends kwa mtandao mana bado una mengi ya kujifunza...
Sikulaumu lakini nilisha kuonya Cheusi's Avatar itakkumalaza....
hapana mi sio 22, bt I jus nid galfrnd with nt mo thn that ag, am aprochn 25 yaz
Nimekupata... ina maana saizi huna galgriend?
asipozidi ft 5 itavutia zaid, afu awe natural, hawa wa kujichubua na wavaa wigi huwa siwapend.