Swift code in Tanzania

CB227

Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
43
Reaction score
5
Please can I have swift cods information for receiving money from abroad particular in Tanzania,Thanks in advance!
 
Nakujibu kwa kiswahili,maana kizungu sijui vizuri.
Na kama unakijua kiswahili acha ulimbukeni.

Nijuavyo mie ni kwamba Swift Transfer Cost inategemea yafuatayo
-Nchi pesa inayotoka
-Bank ya mtumaji wa hizopesa,maana banks zinatofautiana Charges
-Bank ya wewe unaepokea hizo pesa,pia charges hutofautiana
-Currency alietumia mtumaji na Currency unayotumia wewe kwenye account yako(Hapa ndio balaa tupu,unaweza kulia)
-Pia Kiasi cha pesa kilichotumwa

Tatizo Banks nyingi hazina kiwango maalum,mie nimewahi kufanya hii kila bank ikanipa kiwango chake napia bado ukituma mpokeaji anakuambia pesa hazijatimia.Shida tupu kwenye hizi Bank charges
 

unaweja kuniabia umbaligani(range) of the fees that most banks charge without considering the currency and other factor,muchappreciation in advance!!!
 
Range of the fees depend on the amount itakayotumwa,sasa weka kiwango hapa ili iwe rahisi kukupa idea
 

InaitwA SWIFT CODE siyo COST.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…