Swine Flu in Africa - Tahadhari!

Mwandishi aliyetoa hii data atakuwa ametoka kwa nchi jirani akiwa na NIA MBAYA kwa Tanzania
hii ni kampeni tu ya kutokosesha watalii.Kenya na Zimbabwe zina wagonjwa wengi walio ripotiwa tofauti na sisi hapa ambao tuna mgonjwa mmoja tu.
 
Mkuu imetoka kwenye gazeti la UK la The Sun.link hiko hapo juu.


Mkuu, nilikuwa naamisha mwandishi wa the Sun kaitoa wapi...nimeangalia hiyo habari, wamezungumzia zaidi UK.....na nimeangalia tovuti ya WHO, upadtes za mpaka tarehe 6 julai hata Tanzania tulikuwa bado hatuna mgonjwa

sasa hao 2000 ndo najiuliza wamefikaje, wametoa wapi hizo taarifa, au ndo kupakana matope? wao wameshindwa sasa wanajisikia vibaya?
 
Hizi habari sidhani kama ni za kweli.
Kama idadi ingekuwa kwa kiwango hicho tungejua tu. Hawa "The Sun", labda watueleze wamepata wapi data hizi za kupotosha.
 
Hawa The Sun wamepotosha mgonjwa mmoja tu tena kutoka kwao ndo watubambikie wagonjwa wote hao! Ikifika huko mbona wengi tutapotea jamani.
 
Nimekuelewa ndugu.sijajua nia ya hawa watu nini hasa.wagonjwa 2,075 wametoka wapi? pia tamko la wizara ya afya inasema ni mgonjwa mmoja tu aliye katikano na ugonjwa huo hapa nchini.
 
Yaani kila gonjwa baya la ulaya lazima wazungu wafanye juu chini mpaka na Waafrika walipate.
 
Muwache kula nguruwe, mnaambiwa haramu hamsikii!
 
Nimekuelewa ndugu.sijajua nia ya hawa watu nini hasa.wagonjwa 2,075 wametoka wapi? pia tamko la wizara ya afya inasema ni mgonjwa mmoja tu aliye katikano na ugonjwa huo hapa nchini.
Inawezekana ikawa sahihi kwani sisi tu hodari wa kufika ukubwa wa matatizo.Rejea tukio la mabomu ya Mbagala idadi ya vifo,majeruhi na watoto waliopata matatizo ya kusikia.Tusikimbilie kusema tumechafuliwa.Tunahitaji kuchukua hatua moja ya ziada kifuatilia(ku-research) hilo.
 

JosM

The statistics are OK! but naomba uniambie kati ya hao walikutwa wana vijidudu vya swine flu wangapi ni watu weusi mkaa kama wewe baada ya hapo tutaendelea kuzungumza vunginevyo tafuta kitu cha maana kuzungumzia hapa. Do you remember mafua ya ndege yalivuma sana lakini hakuna mtu mweusi anayeishi kwenye tropics alikufa au kuugua!!

Hawa wazungu ni washenzi kinoma kama ugonjwa ukiwagusa wanatangaza kama janga la dunia this is according to WHO unafikiri nani ana own WHO si ni hao wadosi? Hapa Africa watu maelfu wanakufa kwa Malaria but bado sio janga la dunia na vita dhidi yake ni usanii mtupu na nia aibu.

Watu wamekufa huko Niger, Chad , Ethiopia. Somalia, Kenya na mifugo yafa kwa njaa bado kwao sio tatizo look at problems za Zimbabwe kuna njaa kinoma lakini wao wanashabikia Democracy this is crazy!!!

We have a sexed democracy in Tanzania lakini haitusaidii kuondoa mapigano ya wafugaji na wakulima na huko Tarime je???

Please choose your thinking before been taken for a ride na hizo statstics!! How could it happen mdosi wa shule anakuja holiday kupitia Heathrow Aiorport wasigundue kwamba ana mafua hii wamefanya makusudi huu ni unyama hebu angalia wanavyotukagua tukikanyaga kule USA we kanyaga JKF Airport wanavyotudhalilisha!!!!

 
Kwa hiyo,wapenzi wa kitimoto tuendelee kula nyama? .

Hivi ugonjwa huu,hauna tiba mbona jinsi unavyotanagzwa utadahani ni zaidi ya UKIMWI,kwa nini jitihada zisielekezwwe kwenye UKIMWI badala ya mafua ya nguruwe.
 
 
poor conclussion....nani kakwambia unaambukizwa direct kutoka kwa huyu mdudu mtamu

Background

Novel influenza A (H1N1) is a new flu virus of swine origin that first caused illness in Mexico and the United States in March and April, 2009. It’s thought that novel influenza A (H1N1) flu spreads in the same way that regular seasonal influenza viruses spread, mainly through the coughs and sneezes of people who are sick with the virus, but it may also be spread by touching infected objects and then touching your nose or mouth. Novel H1N1 infection has been reported to cause a wide range of flu-like symptoms, including fever, cough, sore throat, body aches, headache, chills and fatigue. In addition, many people also have reported nausea, vomiting and/or diarrhea.
The first novel H1N1 patient in the United States was confirmed by laboratory testing at CDC on April 15, 2009. The second patient was confirmed on April 17, 2009. It was quickly determined that the virus was spreading from person-to-person. On April 22, CDC activated its Emergency Operations Center to better coordinate the public health response. On April 26, 2009, the United States Government declared a public health emergency and has been actively and aggressively implementing the nation’s pandemic response plan
By June 19, 2009, all 50 states in the United States, the District of Columbia, Puerto Rico, and the U.S. Virgin Islands have reported novel H1N1 infection. While nationwide U.S. influenza surveillance systems indicate that overall influenza activity is decreasing in the country at this time, novel H1N1 outbreaks are ongoing in parts of the U.S., in some cases with intense activity.
CDC is continuing to watch the situation carefully, to support the public health response and to gather information about this virus and its characteristics. The Southern Hemisphere is just beginning its influenza season and the experience there may provide valuable clues about what may occur in the Northern Hemisphere this fall and winter

Source:CDC H1N1 Flu | CDC H1N1 Flu Update: U.S. Human Cases of H1N1 Flu Infection


Upo hapo ulipo?
 
Friday, 17 July 2009 09:13
CHELU MATUZYA
SPREAD of the news of hospitalization of the first swine flu victim at Muhimbili hospital in Dar es salaam early last week has negatively affected the sales of the popular meat dubbed 'Kitimoto' or pork

A quick survey at various pork points in Dar es Salaam city within the week showed a drastic decline in demand of Kitimoto as sellers say pork consumers mistakably think eating pork would expose them to contamination risks.

“Look, experts have said there's more risk in shaking hands with an infected person than eating cooked pork meat, but who will believe you?”, said Stephano Mwenda of the famous Kigogo Sambusa pork market.

“I used to sell between fifty five and sixty kilograms of pork meat per day during the weekdays and between seventy five and eighty Kgs during the weekend. But since news broke out that a British student has been hospitalized afflicted by swine flu, I hardly sell 50 kgs in weekdays and 60 kgs in the weekends,” he said.

Mwenda talked with nostalgia about his sales before Dar Swine flu news saying “I had many customers including foreigners - Arabs, Somalis, Chinese and Europeans. They were buying many kilograms. But they have all stopped.”

Farmers Choice, one of the largest manufacturers of meat sausages include pork, was unwilling to talk about their sales.

Mwanaharusi Mwamadi, a pig farmer at Buguruni said swine flu news has affected her sells. Before the flu hit Dar she used to sell an average of six pigs per day but now she hardly sells three pigs, she said.

"I have a permanent customer, kind of an agent, who buys from me at an average price of between TShs. 150, 000 and 300,000 depending on the weight of the pigs”, she said.

Business Times also visited different pubs in the city where pork was a popular meat, and most of waiters and waitresses said the business had gone down.

Amina Suka a waitress at Sinza bar said most pork eaters that she know have turned to goat's meat.

"We used to sell from 60 to 80 kg ms of pork meat everyday, now we sell 20 to 30kg ms”, she said.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…