Swiss President is spending in Tanzania

Wakenya na vijana wa kuzungusha mikono hawatafurahi
Uzuri cc hatuamini sanamu wala maigizo na matamko; We dont feed on empty populist rethoric! neither tweeter, kitabu cha uso (facebook) au picha za ghafulale (Instagram)!
 
Uzuri cc hatuamini sanamu wala maigizo na matamko; We dont feed on empty populist rethoric! neither tweeter, kitabu cha uso (facebook) au picha za ghafulale (Instagram)!
Hizi tabia za kutumia "cc" ni tabia za watoto wa secondary. Zaidi sana huwa wanatumia watoto wa Jangwani Girls Secondary School.
 
Pwahahaha. Weka link na acha kutunga vitu kijana.
Tanzania beats Kenya as regional tourism hotspot

Go back to past threads here. Tourism contribution to Kenyan GDP was over $5 billion. That was in 2014 I think.
In Tanzania, you overcharge tourists in gate fees so you can collect more revenue. Here in Kenya we let them spend elsewhere. eg. buying curios/souvenirs, local experiences, transport etc.
At the end, the people relying on tourism related activities, eg taxi drivers, end up making more than those in Tanzania.
Explains why your GDP per capita is LDC while we are middle income. 😀😀
 
Pwahahaha!! Can you please share to us the source of your information.
 
Ukishaamka utakuja kugundua baadae. Strategy za Tanzania ni zaidi ya mawazo yenu. We make cash friend, but you get promise. Hahaha!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji14]
 
Middle income wa kibera acha kutoa povu,weka link kututhibitishia haya maelezo yako
 
Hizi tabia za kutumia "cc" ni tabia za watoto wa secondary. Zaidi sana huwa wanatumia watoto wa Jangwani Girls Secondary School.

Umeonae! Kweli mimi nilikuwa Jangwani Girls miaka ya 70 hivi when schoools used to be real schools; watu wanasoma haswaa, wanakula wanashiba some balanced diet na kulala proper! and education was indeed ELIMU kwei kwei! Sio maigizo ya leo yanayozalisha praise singers na a few cheap cheerleaders! Natamani ungezijua nyakati hizo baba na mama yako na ukoo mzima wangekushangilia sana wewe kizazi cha nyoka!
 
Duh!!! Kiswahili chako ni cha kisichana.
 
Reactions: MTK
Duh!!! Kiswahili chako ni cha kisichana.

Hivi kweli wewe ni kitu gani kama sio jini Kabula?!
Hivi kuna wa kiume akasoma Jangwani girls kama una akili sawasawa?! Mweeee?!
 
Hivi kweli wewe ni kitu gani kama sio jini Kabula?!
Hivi kuna wa kiume akasoma Jangwani girls kama una akili sawasawa?! Mweeee?!
Sauti yako inafanana na under 18 girl.
 
Actually it is not a good deal..

The Swiss president ameuambia ulimwengu kuwa Kenya ina wanasiasa mafisadi ambao wameiba pesa na kuzipeleka Swiss so amekuja kuwasaidia kuzirudisha..

Hapo hamna mlichopata.. maana ni hela zenu wenyewe ambazo mlizipoteza..

Tanzania amekuja kutalii na kutumia hela.. watoto wa mjini tunasema amekuja kula bata.

So in short mmedhalilishwa tu kuonyesha dunia huko kwenu kumejaa ufisadi na Tanzania ndio mahali sahihi pa kula bata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…