All is well jirani. Hii tabia ya kukalia fence inashangaza kweli. Yaani utadhani mda ni 'dispensable' kwa watu wengine.
They have the watches but we have the time. Its called Afrikaah Nalendwa. Hey, wasup?Teh!, I guess there's no hurry in Tz.
Yea, for real Nalendwa. African time is such a sweet life for an african harvesting maize in the village but such a bitter pill for proffessionals and people with places to go. [emoji1] Umeadimika sanaaa siku hizi.
Nadhani kitu kinaitwa 'delegation of duties' ndio shida kubwa. Labda faili ya Sylvia ipo kwenye ofisi ya Jiwe na hajaifikia bado. You tell me. Kenya mambo kama hayo hayapo tena, kuna zile Huduma Centre ambazo zilifunguliwa kwenye kila County. Kutoka D.L. hadi marriage and death certificates hata ukitaka kufungua kampuni all digitized and centralized under one roof. All available upon request bila ya kuzunguka zunguka kwenye ofisi zote husika. We have really improved on this jirani na sio eti ni kujipiga kifua.pingli-nywee lakini Jirani I'm dying to know, and may be it'll add some zeros in my bank a/c.
Nashindwa, who's making those long lines at our Immigration cos we can't be that slow..
Hata kwenu ni hivi pia?
Nadhani kitu kinaitwa 'delegation of duties' ndio shida kubwa. Labda faili ya Sylvia ipo kwenye ofisi ya Jiwe na hajaifikia bado. You tell me. Kenya mambo kama hayo hayapo tena, kuna zile Huduma Centre ambazo zilifunguliwa kwenye kila County. Kutoka D.L. hadi marriage and death certificates hata ukitaka kufungua kampuni all digitized and centralized under one roof. All available upon request bila ya kuzunguka zunguka kwenye ofisi zote husika. We have really improved on this jirani na sio eti ni kujipiga kifua.
Chunga wasianze kutazama uraiya wako pia kwa jicho la tatu. Mimi niko safe pahali mkono wa Jiwe huwezi nifikia. Is it me, or did it just get hotter around here? [emoji23]Tehe!, Tehe!, eti labda file lake liko kwenye office ya Jiwe...lol
Inawezekana sana tu Jirani, na hivi siku hizi ukiwa bore kidogo tu wanaenda kumtafuta babu yako alie mzaa bibi alizaliwa nani, na wapi. Muhimu watu kama Sylvia kupita sehemu nyeti kama hiyohiyo.
Nimependa sana Improvement yenu.
Seems like things go fast and on time as they suppose to.
Hata kuna sehemu nyingine nafahamu, it takes less than a month and not as long as it does in
Chunga wasianze kutazama uraiya wako pia kwa jicho la tatu. Mimi niko safe pahali mkono wa Jiwe huwezi nifikia. Is it me, or did it just get hotter around here? [emoji23]
Nadhani kitu kinaitwa 'delegation of duties' ndio shida kubwa. Labda faili ya Sylvia ipo kwenye ofisi ya Jiwe na hajaifikia bado. You tell me. Kenya mambo kama hayo hayapo tena, kuna zile Huduma Centre ambazo zilifunguliwa kwenye kila County. Kutoka D.L. hadi marriage and death certificates hata ukitaka kufungua kampuni all digitized and centralized under one roof. All available upon request bila ya kuzunguka zunguka kwenye ofisi zote husika. We have really improved on this jirani na sio eti ni kujipiga kifua.
Chunga wasianze kutazama uraiya wako pia kwa jicho la tatu. Mimi niko safe pahali mkono wa Jiwe huwezi nifikia. Is it me, or did it just get hotter around here? [emoji23]
Kwa taarifa yako diplomasia ndo inatumika atangojeshwa mpaka akate tamaa bila majibu!Nadhani kitu kinaitwa 'delegation of duties' ndio shida kubwa. Labda faili ya Sylvia ipo kwenye ofisi ya Jiwe na hajaifikia bado. You tell me. Kenya mambo kama hayo hayapo tena, kuna zile Huduma Centre ambazo zilifunguliwa kwenye kila County. Kutoka D.L. hadi marriage and death certificates hata ukitaka kufungua kampuni all digitized and centralized under one roof. All available upon request bila ya kuzunguka zunguka kwenye ofisi zote husika. We have really improved on this jirani na sio eti ni kujipiga kifua.
Nalendwa, I actually see it very clearly. How that man with a name that rhymes with drogba got you all suddenly speaking in parables like ancient storytellers. On a positive note though, you guys are all picking up such a crucial skill, just like that!
Kwa taarifa yako diplomasia ndo inatumika atangojeshwa mpaka akate tamaa bila majibu!