Sylivia Mulinge shouldn't be allowed to work in Tanzania, Hire a Tanzanian Instead.

Kisa serikali inaamini katika kulinda maslahi ya wananchi wake na position haikutangazwa! kumbuka public Tanzania inamiliki 20% Vodacom.


pingli-nywee

What does this mean? kwamba Ms. Sylvia might not be able to see Dar-es- salaam' s sun under Vodacom at all if the so called diplomasia wins?!! 😰
 
Nalendwa its evident that she won't take up the position. I think its better of for her that way, it would have been a very hostile work environment for her. Don't you think so? Am sure a corporate mzungu is on standby somewhere.
 
Nalendwa its evident that she won't take up the position. I think its better of for her that way, it would have been a very hostile work environment for her. Don't you think so? Am sure a corporate mzungu is on standby somewhere.


Seriously?!!
Wow, so it's this serious HUh! 😵

So what the best reason would be, for her not to take the job?!

Afrikah, meeen!
 
Huyu mwanamke amesumbua vijibaba wa tz sana hata wengine wameshakunja ngumi kama kin Geza Ulole tayari kumpiga girl child...cmon guys give her a break.
 
Ameshatoswa Voda wameteua MD wa muda wakati wanatafuta Mwingine.
 
Halafu anaua tu watu hovyo. Mambo ya kuuana wafanyie hukooo kwao.
 
Wamemteua Mmisri ashikilie Kwa mda, work permit atapata au ?

Hehehehe hadi huruma, ina maana nchi yote hiyo watu zaidi ya milioni 55 hakuna mwenye sifa za kuweza kuongoza kampuni kama hiyo, mjitafakari sana kama taifa, mnafaa kuwa na mdahalo wa kitaifa ili kubaini wapi huwa pameharibika, maana makampuni yenu yenyewe ndio yanasisitiza kuwafuata wageni hususan Wakenya.

Serikali yenu japo inajaribu kila mbinu za kuwalinda dhidi ya ushindani wa Wakenya, lakini wenyewe mfikie hatua ya kujitathmini, kujituma na kujiongeza maana sijui mtalindwa hadi lini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…