Sylivia Sebastian ashinda taji la Miss Tanzania 2019

anamiaka 17
 
Hivi haya mashindano bado yapo siku hayana mvuto kama enzi za mwalimu
 
Hivi haya mashindano bado yapo siku hayana mvuto kama enzi za mwalimu
 
Nimependa tuu katoka nje ya Dar maana ilikuwa km lazima miss kutoka Dar vile.
 
Mamiss wa zamani, ukimuona tu kapita, roho inakushtuka. Mwanamke mzuri kama jini.
Mamiss wa cku hizi, mpaka mtu akutambulishe kuwa yule anayepita ndio Miss Tanzania na huenda ukadai uthibitisho wa picha. Mamiss wa cku hizi ni wa kawaida mnoo. They are not above the average standard of a beautiful woman.
Hili linaweza kuwa limechangiwa na mambo kadhaa.
Moja ni ubabaishaji kwenye zawadi. Zawadi kiduchu hazivutii walimbwende kushiriki.
Pili jopo la majaji. Kama jana wamejaa wanawake. Kesi ya nyani anapelekewa ngedere! Pale ilitakiwa wawepo majaji kama Baharia Mwakitwanga. Mtu aliyebobea kwa ujuzi na ufahamu wa mwanamke mzuri na mrembo anatakiwa aweje. Mnawajaza kina dada ambao hawajui feelings za mwanaume katika ku assess uzuri wa mwanamke!
Poleni mliolipa kiingilio. Mmeliwa.
 
alfuuu mchaga asipo kua mshindani kwenye ayo mashindano ya umiss ujue hamna kitu acha wasukuma washinde tu kila mahali
 
Ashukuru marehemu,Mkurugenzi wa vipindi Mawingu alishatangulia mbele ya haki
 
Nani anaweza kufanya upuuzi wa matangazo katika kipindi hiki ambacho biashara zimedoda, hata zawadi ni ndogo utafikiri anatafutwa miss wa mtaa.
Hata impact yao kwenye jamii haitakuwa kubwa kama ilivyokuwa impact ya wale wa miaka ya nyuma ambao wengi wao mpaka leo bado wanavuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…