Symbion Power Kujenga Mtambo wa Umeme Mtwara

Ukweli ni kwamba Watanzania hatupendi fujo lakini vurugu za Mtwara zimewafanya Serikali kuogopa na kuwaheshimu watu wa Mtwara. Ndege ya ATC imeanza safari za Mtwara haraka sana baada ya fujo, miradi ya barabara iliyokuwa haiko tayari inaonekana kusimamiwa na mawaziri sasa. Lakini pamoja na hayo yote kuwatuliza wana Mtwara serikali imeamua kuweka uwekezaji wa umeme Mtwara kama wana Mtwara walivyokuwa wanataka.Serikali haitakiwi kusubiri fujo kufanya kazi kwa wananchi.

 
Hawa ni ma-spy watupu wa Marekani. Kuna uzi humu unaojadili hawa watu.

Pamoja na hao 'majasusi' una hakika hakuna local shareholders? Hawa local ndio muhimu wafahamike kwa sababu yawezekana ndio wanaoinfluence maamuzi.
 
Reactions: FJM
Imeripotiwa kuwa TANESCO na Symbion power company zimeingia makubaliano ya kuzalisha umeme wa MW 400 mjini Mtwara na kusambazwa mikoa ya Mtwara, Lindi hadi Ruvuma kupitia Tunduru. Then, gridi ya taifa itasogezwa kutoka makambako hadi Songea kuuchota umeme huo.

Najua mradi huu una nia njema ktk kutuletea maendeleo. Lakini najiuliza tu km mradi huu ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi ya Mh. Pinda kwa madai ya watu wa kusini kuwa umeme ufuliwe huko. Najiuliza pia kuwa au ni kukidhi mahitaji makubwa ya umeme kwa ajili ya mgodi mkubwa unaotarajiwa kuanza kazi wa Uranium pale Tunduru ndani ya mbuga ya Selous (Game Reserve)? Tukizingatia kuwa Symbion ni ya wamarekani, UNESCO walishabariki haraka sana eneo la madini pamegwe na kuwa nje ya Selous na muhimu zaidi ni kuwa mmiliki wa mgodi huo ni Mmarekani pia (ambapo kaka wa Obama yaani former president "Pori" anatajwa).
==========================================================================
14th February 2013







Project includes 650-kilometre transmission link to national grid
Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) and US-based energy firm Symbion Power are to embark on the construction a 400 MW gas-fired power generation plant for Tanzania’s southern regions.
Top officials of the two firms told reporters yesterday in Dar es Salaam that the joint venture project, is to be constructed in Mtwara,.
The two partners yesterday signed a Memorandum of Understanding (MoU) for implementation of the project under public-private partnership. The MoU was signed by Tanesco Acting Managing Director, Felchesmi Mramba and Symbion Chief Executive Officer, Paul Hinks.
Although the project may look like an “alternative strategy” to calm down Mtwara residents who recently staged violent protests against a government-backed gas pipeline from Mtwara to Dar es Salaam, both Tanesco and Symbion officials made clear that “their project has no connection with the Chinese-financed gas pipeline.”
“This project should not be seen as a replacement of the rejected government gas pipeline…these are completely separate and unrelated projects,” Tanesco Board Chairman, retired army chief, Robert Mboma clarified, shortly after signing of the MoU at Tanesco’s head office.
The two partners will set up a joint company to oversee the project, which include construction of a 650-kilometre transmission backbone from Mtwara to Songea where it will be connected to the national power grid through a line that will be built from Makambako to Songea.
Implementation of the project will be phased, according to Mramba, noting: “It will take three years from financial closure to completion.”
The first phase will involve increasing the existing capacity in Mtwara to meet the growing demand in the southern regions of Lindi and Mtwara itself. Engineering study is expected to start in March, after which construction works would commence this year, according to Hinks.
Speaking on the positive elements of the project, Hinks said: “The South of Tanzania has been starved of energy for decades and this has severely stunned its development. However, this project will succeed because it includes transmission lines that will feed the grid system…the transmission lines will be owned exclusively by Tanesco but they will be built as part of the project.”
He explained that Symbion and Tanesco will be working with a number of international funding agencies, banks and private equity firms this year in order to put project’s financial package together, noting: “Many partners have already expressed great interest in the project. We are hopeful that US government agencies such as the US Exim Bank and the US Overseas Private Investment Corporation will show keen interest in the investment too.”
Symbion predicts bright future for Tanzania in terms of energy resources, saying the country has abundant gas and “could become self sufficient and even a regional exporter to countries that are not blessed with fuel resources.”
Mramba said southern regions have experienced poor power reliability for many years due to lack of connection to the national grid and expressed optimism that through the planned Tanesco and Symbion partnership project, Lindi, Mtwara and Ruvuma will be connected to the national grid.
“Connecting southern regions to the national grid will significantly improve reliability of the entire electricity network. This is one of the best ways Tanesco can benefit from the PPP arrangement whereby the public and private sector join hands to undertake projects that would otherwise be difficult to implement.”
Besides power supply, according to Tanesco and Symbion officials, the project would create jobs and incomes for millions of residents in the southern regions.
Discussions (between the two partners) on the project started in September, last year when Symbion presented the proposal to Tanesco and the Ministry of Energy and Minerals.
Yesterday’s signing of board-approved MoU allows the companies to form a public private partnership and develop the project. It will take around 12 months to put the necessary financing in place before the three-year clock begins to tick, according to Symbion chief executive officer.
Details on the total cost of the entire project were not disclosed yesterday, with Tanesco and Symbion top officials only saying: “The cost will be known and publicly announced after completion of the engineering study and other ground works.”
SOURCE: THE GUARDIAN
 
Sioni tatizo la mradi huo wa umeme na machimbo ya uranium cha muhimu ni kudhibiti ufisadi kwenye mradi sijui itwezekana vipi bila POAC na spika wa bunge mjinga.
 
Mimi binafsi katika kampuni kumi ninazoziogopa kama UKOMA symbion imo kwenye tatu hatari.
 


Mtera Hydro Electric Dam Mpakani mwa mikoa ya Iringa na Dodoma

Symbion/ Tanesco zatiliana saini umeme Mtwara
NEEMA imeshuka mkoani Mtwara baada ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), kuingia mkataba na Kampuni ya kuzalisha umeme ya Symbion kujenga kituo cha mitambo ya kuzalisha nishati hiyo megawati 400. Hatua hiyo inatafsiriwa kuwa ni neema baada ya hivi karibuni kuwapo kwa vurugu mkoani humo, ambapo miongoni mwa madai ya wananchi yalikuwa kutaka umeme wa kutosha ili kuwezesha uwekezaji kwa watu wanaotaka.

Akizungumza jana Jijini Dar es Salaam, katika hafla fupi ya kutiliana saini mkataba huo wa makubaliano,Ofisa Mtendaji Mkuu wa Symbion, Paul Hinks alisema kuwa umeme wa gesi utakaozalishwa katika mradi huo licha ya kuwanufaisha wananchi wa Mtwara, pia unatarajiwa kuunganishwa kwenye gridi ya taifa ya Tanesco. " Tathimini ya mradi huu inatarajiwa kuanza mapema Machi mwaka huu na utakamilika baada ya miaka mitatu, lakini unatarajiwa kuwaneemesha wakazi wa mkoa huo na Mikoa ya Kusini kwa ujumla, kwani ukikamilika unaweza kushusha gharama za nishati hii muhimu. Alisema mradi huo utatoa ajira kwa watu wengi na utatumika kwa kiwanda cha saruji na mbolea vinavyotarajiwa kujengwa huko.

Kwa upende wake Mwenyekiti wa Bodi ya Tanesco, Jenerali Mstaafu, Robert Mboma , aliitaka menejimenti ya shirika hilo kuhakikisha inaharakisha utekelezaji wa makubaliano hayo ili kukamilisha mradi huo. Mboma alisema mradi huo unaohusisha gesi ya Mnazi Bay unatakiwa ukamilike kwa wakati. "Kutokana na kuongezeka kwa shughuli za kiuchumi katika Mikoa ya Lindi na Mtwara kunakoenda sambamba na shughuli za utafiti na uchimbaji wa mafuta na gesi na mahitaji ya umeme katika mikoa hiyo yanatarajiwa kukua na kufikia megawati 200 katika miaka mitatu ijayo,"alisema Generali Mboma. Alisema mahitaji mengine kwenye gridi ya taifa na uwezekano wa kusambaza umeme katika nchi jirani hasa Msumbiji na Malawi ambazo zimeonyesha nia.

Kwa upande wake Kaimu, Mhandisi Felchesmi Mramba alisema Tanesco itahakikisha mradi unakamilika kwa wakati na kwamba tayari taratibu zingine zikiwamo kuundwa kwa kampuni moja ya kusimamia mradi zimeanza kutekelezwa. Alisema Serikali kupitia Tanesco imedhamiria kuboresha maisha ya Watanzania hususan wakati wa Mtwara na kwamba mradi ukikamilika Mtwara na vijiji vyake itakuwa na umeme wa kutosha. Aliomba ushirikiano kwa wakazi wa Mtwara kufanikisha mradi.


 
Nitaendelea kuwa "Thomaso" hadi NIONE HUO UMEME unafuliwa MTWARA maana hawa jamaa maneno mengi sana vitendo sifuri!Kwetu Kyela mwaka 2006 mradi wa barabara ya Kyela-Matema ulisainiwa kwa mbwembwe mno na kila aina ya burudani lkn hadi leo hatujaona barabara!
 

Inawezekana ukawa sahihi kutokana na miezengwe ilivyozoeleka kutupaka kiwi machoni. Wananchi Mtwara wasikubali hadi waone mitambo inafungwa na umeme upo, vinginevyo kila walicho nacho kitang'olewa na kupelekwa Bagamoyo hadi crane za bandarini.
 
Hii bodi ya TANESCO chini ya Generali mimi inanipatia wasiwasi na utendaji wake. inaonekana wanafanya kazi kwa njia ya kuzima zima moto kama shirika lenyewe lilivyo. Ninakumbuka kuna uzi uliletwa na mtu aliyejitambulisha kama mbuge ambao moja ya malalamiko yalikuwa yanamuhusu generali.

Maisha yote Jeshini halafu uzeeni body management, wapi na wapi.
 

Hata marekani generals jeshini walistaafu wanapewa kazi za bodi kwenye makampuni yenye muhimbili wa usalama......ie reli,nishati,bandari etc......hii kampuni ya Symbion ni moja ya makampuni yanayoongozwa na retired commanders
 

hapo umesema kweli mkuu

mchakato wa kutafuta fedha, MWAKA MZIMA (maana yake hela kwa sasa hakuna)

ujenzi, MIAKA MITATU (ni sahihi kama hela ipo)

kwa kifupi mpaka ujengwe ndio tutaamini ..... bila sivyo huu ni usanii mwingine, wana mtwara wakishtuka bomba la gesi kwenda mkoa wa pwani limekamilika na symbion wanarudi na kusema wameshindwa kupata fedha za mradi huu umeme mtwara
 
Hata marekani generals jeshini walistaafu wanapewa kazi za bodi kwenye makampuni yenye muhimbili wa usalama......ie reli,nishati,bandari etc......hii kampuni ya Symbion ni moja ya makampuni yanayoongozwa na retired commanders

Mkuu,
Usilinganishe TANESCO na hiyo kampuni. Symbion power ni ya vinara wa siasa za USA, Hiyo management ni proxy ya hao vinara wa USA. Halafu wenzetu ukifikia kwenye cheo kama cha generali lazima upitia maswala management ambapo kwetu sina uhakika.
 
Ngoja watuletee maendeleo bana

Watakuletea maendeleo ikiwa kama hao Wamarekani ni wajomba au shangazi zako. Hizi fikra mgando sijui zitaisha lili, ukimwoma Bush au Clinton Mtwara si akana kwamba amekuja kukuletea maendeleo, bali amekuja kuthibitisha na kusafisha macho juu ya yale aliyoambiwa na wapelelezi wao wa kiuchumi. Endeleeni kusubiri maendeleo............
 

Hilo ni changa la macho kwa wadanganyika. Hakuna kitu hapo kinacho husiana na Gesi. Mkataba wa bomba la Gesi ni Wachina, na mlishaambiwa lazima Gesi iende Kinyerezi-Bagamoyo-Mombasa-China. Hayo ya Symbion na TANESCO haviendani na mkataba wa waChina bandugu. Yote hiyo ni kuwazuga wana Ntwara. WAMAKONDE MMELIWA!!!!!!!!!!!!!
 
Kujenga wenyewe hatuwezi, Wachina hatuwataki, Symbion hatuwataki, tunataka ajenge nani? Kama JF Great Thinkers lazima tuwe reasonable, siyo kugomea kila kitu bila hata sababu ya msingi, tukiendelea hivyo tutapuuzwa maana itaonekana sisi kazi yetu ni kugomea kila kitu.

Mimi ninavyojua Symbion ndiyo wenye capacity charge ya chini kabisa kuliko makampuni yote, kwa maelezo yako inaonekana hawa labda ndiyo wenye capacity charge ya juu, una data zozote za kuthibitisha hilo? Jambo muhimu kuliko yote ni aina ya mkataba kati ya Symbion na TANESCO/Serikali. Jambo jema ingekuwa kuilazimisha kampuni hii kujiandikisha kwenye Dar Stock Exchange ili na Watanzania wanunue hisa, nao waweze kufaidi faida inayotokana na miradi mikubwa kama hii.

hawa symbion ndio bomu ... hatari... si tunaona inavyoikamua tanesco na capacity charge sasa naona wanahamia huko kwenye gesi..muda utaongea ...
 
soma hii habari na hii upate majibu yako ya capacity charges
na hii

 
[h=3]Bloomberg News
Symbion Power Seeks to Expand Capacity in Tanzania, CEO Says[/h] By David Malingha Doya on June 13, 2011


June 13 (Bloomberg) -- Symbion Power LLC, owner of a 120- megawatt power plant in Tanzania, is interested in expanding capacity in the East African nation and may make further acquisitions there, Chief Executive Officer Paul Hinks said.The company, based in Washington D.C., is in talks with the Tanzania Electric Supply Co. about boosting output and any increase “will depend on Tanesco wanting us to produce more,” Hicks told reporters yesterday in Dar es Salaam, the commercial capital. “We also hope to make some more acquisitions, but there is nothing in the pipeline.”
Symbion purchased the gas-fired Dowans Power plant in Tanzania last month. The acquisition is one of the measures that the Tanzanian government expects to help close a 260-megawatt power deficit in East Africa’s second-biggest economy, Energy and Mineral Minister William Ngeleja told reporters in Dar es Salaam yesterday.


Last week, the Planning Commission in the Tanzanian presidency published a five-year development plan that proposes spending 4.7 trillion shillings ($2.96 billion) to increase electricity output to 2,780 megawatts by 2015 from 1,000 megawatts currently.

The Tanzanian government also has $206 million available from a U.S. grant program to improve electricity distribution in the country, according to the U.S. Embassy in Tanzania. Symbion Power and Pike Electric Corp., based in Mount Airy, North Carolina, won contracts of $110 million and $18 million respectively from the Millennium Challenge Account to build substations and extend electricity distribution in Tanzania, the embassy said on its website.

Symbion Power said last week it signed an interim agreement with Tanesco to sell power to the state-owned utility. The company charges a rate of $4.99 per kilowatt hour, it said.

--Editors: Paul Richardson, Ana Monteiro.

To contact the reporter on this story: David Malingha Doya in Dar es Salaam via Nairobi at pmrichardson@bloomberg.net.

To contact the editor responsible for this story: Paul Richardson at pmrichardson@bloomberg.net.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…