mzee wa njaa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 1,363
- 223
Hizi tetesi kama zinaukweli ni hatari kuliko nilivyodhani. Ila hapo kwenye nyekundu, mkuu umechapia. Ni vema ukawasilisha!Ma great thinker wenzangu hivi hizi tetesi ya kwamba mkataba wa awali kati ya Tanesco na Symbions ulisainiwa mwaka jana mwezi wa 10 (October-2010). Jamani kuna ukweli wowote hapo juu ya hilo? Kama ukweli upo je zile pesa zaidi ya bilioni 70 ilikuwa alipwe nani wakati wameshauziana mitambo? Kama hilo limetokea wa kuwajibishwa ni nani hapo? Manake mkataba wao wanasema ni siri kwa mujibu wa Menejimenti ya Symbions kitu ambacho kinanitia wasi wasi.......Nawakilisha hoja wadau......