Sympathizers wa hamas wanapenda kujipa moyo na vimaneno kama hivi ili tu wafunike aibu ya kushindwa na kutetea ugaidi na utapeli

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
"wanajeshi wa idf wanabeba maiti zao huku wakilia"
JIBU: ULITAKA WACHEKE

"Mitambo ya kuzuia makombora ya Israel haikufanya kazi vizuri kipindi Iran waliporusha makombora"
JIBU: WEWE HAPO ULIPO KWA SHEMEJI YAKO UMEISHAUNDA MTAMBO MGANI

"Israel ni mashoga"
JIBU: UMEJUAJE KAMA HAKUWAHI KUFANYA NAO USHOGA

"Iran hata wazungu wamemshindwa sembuse Ka-israel"
JIBU: DAWA YAO IPO JIKONI, MZUNGU HANA PAPARA KAMA JIHAD

"Sinwar alikufa kishujaa"
JIBU: NDIO ASHAMBULIE ISRAEL NYUMA YA WANANCHI WASIO NA HATIA

"Yakobo alikuwa muislam"
JIBU: "MUHAMAD ALIKUWA MKRISTO"

"Tunakemea mauaji na uonevu juu wananchi wa gaza yanayofanywa na Israel"
JIBU: MBONA HAMSEMI YA YEMEN, SUDAN, LIBYA AU KWA SABABU MNAUANA NYIE KWA NYIE??

Vita yenu sio ya haki na ukombozi bali ni ya itikadi, itikadi ya kitapeli.
 
Huu uzi babu kubwa umeuchambua kisomi
 
Back
Top Bottom