jana,mzee mengi bila kutafuna maneno alitoa kashfa ya kuhusika kwa karibu kwa viongozi wa juu wa jeshi la polisi kitengo cha madawa ya kulevya kutaka kumbambikia mwanae kashfa ya madawa ya kulevya kwa tamaa zao binafsi huku wakijua ni kinyume na maadili ya kazi,ila watafit wa synovate wamewapa alama za juu jeshi hilo kwa watz kuwa na imani nalo ktk utendaji wake,je hayo tuliyyasikia jana ndiyo mliyoyafanyia utafiti?mbona hakuyaonyesha kwenye ripoti yenu?mtuambie basi na mengine mliyoyaficha