Elections 2010 Synovate report(s)

Hoya mbona network haifunguki, download uiweke hapa kwa pdf
 
Ni ile Iliyochakachuliwa ( Kwa Mujibu wa Rais Dr. Slaa)
 

Mkuu Mdondoaji, kwa Mujibu wa Dr. Slaa na Mbowe ni Kwamba wao wanazo Raw Data Ok!
 

Tayari hiyo ripoti imechakachuliwa. Siyo ile waliyokuwa nayo awali na baadaye kuagizwa na CCM kutoianika.
 
hiyo imechakachuliwa, ondoa, tafuta yenyewe, kwani huoni haina mvuto?
 
kama walidanganya mbona hawajaenda bado mahakamani, nani alikwambia kila linaloandikwa ni la kweli.
 
kwanza hiyo link yako labda makamba anaweza kusma peke yake.
 
Dr. Slaa alishawachallenge hawa Jamaa akawaambia kwamba anayo report yenyewe, naona hii habari Iliwashock hawa Jamaa mpaka sasa wanatafakari Wajibu vipi maana mara ya Kwanza Waliwahi kweli kweli kukanusha lakini Baada ya Dr. Slaa kuwa challenge na kuwataka waende Mahakamani Kimya
 
kama walidanganya mbona hawajaenda bado mahakamani, nani alikwambia kila linaloandikwa ni la kweli.

kaka sijui dada elewa tafsiri ya neno kama wametudanganya it means kwa mujibu wa hii report hakuna kitu kama hicho ya kwamba taarifa iliyopo inaonyesha hawakufanya utafiti huo. Ila kama ndege ya uchumi alivyosema kuwa wana Raw Data wengine wetu sie tunapenda kutafiti watupe tupate kujua humu JF. Hii worthless report waachie synovate wakae nayo tu haina maana kuileta humu JF
 
kaka sijui dada elewa tafsiri ya neno kama wametudanganya it means kwa mujibu

wewe nawe Unakana unayoyaandika mwenyewe, unataka jinsia yangu, haya mie mdada, sema sasa. umefurahi.
 
[/COLOR][/SIZE][/FONT]
wewe nawe Unakana unayoyaandika mwenyewe, unataka jinsia yangu, haya mie mdada, sema sasa. umefurahi.

Mkuu nguvumali naomba unielewe najiquote "Nimefanya screening ya haraka haraka kutaka kujua mahali waliposema Chadema waliongoza asilimia 46 sijapaona naona kama akina mbowe na slaa wametudanganya au vp jamani? kinachozungumzwa zaidi ni habari ndani ya vyombo vya taarifa. Kuhusu opinion polls za uchaguzi naona hakuna naomba kujibiwa" Inamaanisha nini? Naomba unipe tafsiri ya haya maneno?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…