The Dreamer
JF-Expert Member
- Feb 2, 2009
- 1,282
- 21
Haionyeshi methodology, terms kama vile neutral, negative, positive ni vigumu kujua wamepimaje...briefly bila supporting document haieleweki zaidi ya kuguess kwamba TBC ilikuwa na hoja mbaya juu CHADEMA kuliko chombo kingine chochote.

Nimeisoma report nzima huu si utafiti ni makala kama makala za waandishi wa habari, walichofanya ni kurekodi data za magazeti yaliyouzwa na kuziweka kwenye Histogram kitu ambacho hata darasa la saba anaweza kufanya. Mtu yeyote mwenye taaluma ya utafiti anaweza kuona upuuzi tuliowekewa, hiyo ni habari ya matukio kama tunavyoweza kuambiwa Kibaha inaongoza kwa ajari za barabarani huwezi kusema huo ni utafiti.