"wataalamu wa utafiti nchini tanzania" Synovet na REDET, fanyieni utafiti hili suala la wananchi waliojiandikisha kutojitokeza kupiga kura. Imeonekena kuwa karibia waliopiga kura nchi nzima ni wachache sana ukilingnisha na wale waliojiandikisha. katika baadhi ya maeneo, idadi ya waliopiga kura ni 30% wakati sehemu nyingine ni 60%. Sababu hasa ni nini? Tunaomba majibu yaje bila kuchakachuliwa.
Ahsante