vita haina mwenyewe Israel pia hatamani ku mess up with Iran kuna raia wengi watalipia hii gharama ya vita kama Iran atafanya total retaliationAliyekuwa akitafutwa, ni rasimi sasa kapatikana! Anataka kutupa ndoano kwente bahari aone iwapo ataambulia chochote!
Mahasimu hawa wawili, wamejipata sasa, Iran ndio basi tena 🖐
vita haina mwenyewe Israel pia hatamani ku mess up with Iran kuna raia wengi watalipia hii gharama ya vita kama Iran atafanya total retaliation
Hadi muda huu Ayatollah hajathubutu kurusha walau jiwe tu kuelekea Israel