Mmmh mimi ndo nilitangaza hii post hapa (baada ya kuisikia TWB) na i can assure you TWB wamechagua mtu fairly sana na alikuwa competent. Wakati mwingine lazima mfike mahali mkubali kuwa kuna watu wana expirience kuwazidi na wako competent hata kwenye GPA na wanafanya hiyo kazi. Kama vijana tutakuwa na attitude kama hizi za kujaji wenzenu basi nakuhakikishia utatafuta kazi sana.
Sidhani kama TWB kuna upendeleo. Ila kama ndivyo tutaacha kuzitangaza hizi kazi JF maana inaonyesha hamna shukrani. Sisi tunataka vijana mpate kazi lakini kama attitude zenu ni hizi mmh. I feel offended. SERIOUSLY.
Pia lazima mtambue kuwa kazi ile ilitanganzwa JF pekee kwa hiyo aliyepata ni mtu wa JF na hivyo u should be proud.