Samedi Amba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 227
- 178
Hapana. Mimi ni Digital contractor. Ntafanya test zote na kumaintain. Nahitaji programmer ambaye amewahi kufanya hii mahali, na ipo tested and proved to work. Halafu tutafanya kazi pamoja. Ni njia ya kupeana fursa na kugawa dau.Mkuu wewe ni kama dalali au
Hii Kazi ni endelevu. tunataka cfamew ya kutest kwa hospitali kama 20 hivi kupata base flow
Muda hauko definite. Tunachohitaji ni working system ambayo tutatumia kama prototype for testing na kutweak kwa ajili ya kuhudumia mahitaji za members wetu. Ni kazi endelevu na itaboreshwa kadri tunavyopokea maoni ya wadau, na washirika wanavyoongezeka.
Habari za asubuhi wanaJF,
Majuzi nilipost kuwa nilikuwa nahitaji mtaalam wa kutengeneza health database. Nilipata msaada na asanteni kwa walioniandikia inbox.
Leo, nina hitaji lingine:
Kwa maswali/maoni nicheki inbox, ila general discussions zifanyike hapa kwa manufaa ya wengine.
- Health Management System (HMS) kwa ajili ya mazingira ya hospitali na zahanati
- Mteja tunayemfanyia kazi ana network ya hospitali/zahanati zaidi ya 500, kwa hiyo multi-tenancy ni jambo muhimu mno. System tunayohitaji itakuwa on the cloud, maana hiyo ni hii - itakuwa ni system moja lakini kila facility (kituo cha afya) kitakuwa na login area yake na data zake, ila system itakuwa moja kwa ajili ya updates etc.
- Iwe na API kwa ajili ya kuweza kuvuta data kirahisi. tunapanga kuwa na mobile app na POS extension kwa ajili ya wepesi, kwa hiyo hilo ni la kuzingatia pia
- Ikiwa na uwezo wa kuintegrate na API ya NHIF/NSSF na bima zingine major, itakuwa ni added advantage.
Uwe na siku njema.
yeah mkuu unaweza jipatia mfumo wako kwa bei rahisi sanaHabari za asubuhi wanaJF,