STEVEN ATMIN Member Joined May 4, 2012 Posts 24 Reaction score 1 May 10, 2012 #1 Hodihodi jamani katika uwanda wa elimu.Naombeni kuuliza swali iliniweze kumjibu yule aliye niswalika swali,HIVI JAMANI MWANAUME MWENYE TEST COUSE MOJA UWEZA KUMSABABISHIA MWANAMKE UJAUZITO?Tafadhali waalam maombeni maelezo kwa kina.
Hodihodi jamani katika uwanda wa elimu.Naombeni kuuliza swali iliniweze kumjibu yule aliye niswalika swali,HIVI JAMANI MWANAUME MWENYE TEST COUSE MOJA UWEZA KUMSABABISHIA MWANAMKE UJAUZITO?Tafadhali waalam maombeni maelezo kwa kina.
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 May 10, 2012 #2 Ndio unaweza.
STEVEN ATMIN Member Joined May 4, 2012 Posts 24 Reaction score 1 May 10, 2012 Thread starter #3 King Kong III said: Ndio unaweza. Click to expand... kwaiyo unanimaanisha ni kwamba test couse zote mbili kwa mwanaume zinakazi moja tu inayofanana.
King Kong III said: Ndio unaweza. Click to expand... kwaiyo unanimaanisha ni kwamba test couse zote mbili kwa mwanaume zinakazi moja tu inayofanana.
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 May 10, 2012 #4 STEVEN ATMIN said: kwaiyo unanimaanisha ni kwamba test couse zote mbili kwa mwanaume zinakazi moja tu inayofanana. Click to expand... Mkuu kwani ukitolewa jicho moja lile lingne linashndwa kufanya kazi?
STEVEN ATMIN said: kwaiyo unanimaanisha ni kwamba test couse zote mbili kwa mwanaume zinakazi moja tu inayofanana. Click to expand... Mkuu kwani ukitolewa jicho moja lile lingne linashndwa kufanya kazi?
STEVEN ATMIN Member Joined May 4, 2012 Posts 24 Reaction score 1 May 10, 2012 Thread starter #5 king kong iii said: mkuu kwani ukitolewa jicho moja lile lingne linashndwa kufanya kazi? Click to expand... nilikuanataka kudhibitisha mkuu ili niweze kumjibu yule aliyeniswalika swali.asante sana kwa jibu lako zuri.
king kong iii said: mkuu kwani ukitolewa jicho moja lile lingne linashndwa kufanya kazi? Click to expand... nilikuanataka kudhibitisha mkuu ili niweze kumjibu yule aliyeniswalika swali.asante sana kwa jibu lako zuri.
Narubongo JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 2,768 Reaction score 2,753 May 10, 2012 #6 "test couse"