Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi tume ya vyuo vikuu kutuuzia VOCHA zilizo expire tokea 30/9/2011 ni bahati mbaya au kusudi?
pole kwa kuuziwa vocha unayo his imexpire, ni hivi..... mfumo wa wa udahili kwa mwaka huu umefanyiwa marekebisho na kupewa jjina la CAS version two. kumbuka kuwa vocha hozo zilikuwa zinasambazwa na CRDB na mwaka huu zinasambazwa na NBC. ni kwamba mkataba wa TCU na CRDB umekwisha na hivyo vocha zilizokuwa zimrbaki CRDBikabidi zirudi TCU na kwa sababu zilikuwa nyiingi ikabidi zirutubishwe kwa ajili ya matumizi yaaaoaply mwaka huu kabla ya kuprint zingine. hayaz yalielezwa wakati wanazindua udahili wa mwaka huu tarehe 29/03/2012 wakati katibu mtendaji wa TCU akitoa taarifa kwa mgeni rasmi aliye kuwa ni Philipo Mulugo.soma gazeti la mwananchi la siku iliyofuata baada ya uzinduzi dogo.
Hivi tume ya vyuo vikuu kutuuzia VOCHA zilizo expire tokea 30/9/2011 ni bahati mbaya au kusudi?
Hivi tume ya vyuo vikuu kutuuzia VOCHA zilizo expire tokea 30/9/2011 ni bahati mbaya au kusudi?
sasa nafanyaje kwa hii vocha iliyogoma?pia kumbuka vocha hiyo nimenunua NBC jana.