T c u

Nabihu

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
294
Reaction score
110
Hivi tume ya vyuo vikuu kutuuzia VOCHA zilizo expire tokea 30/9/2011 ni bahati mbaya au kusudi?
 
Kafungue kesi mahakaman,udai fidia ya mamilion kijana.
 
Hivi tume ya vyuo vikuu kutuuzia VOCHA zilizo expire tokea 30/9/2011 ni bahati mbaya au kusudi?

pole kwa kuuziwa vocha unayo his imexpire, ni hivi..... mfumo wa wa udahili kwa mwaka huu umefanyiwa marekebisho na kupewa jjina la CAS version two. kumbuka kuwa vocha hozo zilikuwa zinasambazwa na CRDB na mwaka huu zinasambazwa na NBC. ni kwamba mkataba wa TCU na CRDB umekwisha na hivyo vocha zilizokuwa zimrbaki CRDBikabidi zirudi TCU na kwa sababu zilikuwa nyiingi ikabidi zirutubishwe kwa ajili ya matumizi yaaaoaply mwaka huu kabla ya kuprint zingine. hayaz yalielezwa wakati wanazindua udahili wa mwaka huu tarehe 29/03/2012 wakati katibu mtendaji wa TCU akitoa taarifa kwa mgeni rasmi aliye kuwa ni Philipo Mulugo.soma gazeti la mwananchi la siku iliyofuata baada ya uzinduzi dogo.
 

sasa nafanyaje kwa hii vocha iliyogoma?pia kumbuka vocha hiyo nimenunua NBC jana.
 
wadau sambamba na hilo la mdau nimeombwa ushauri na jamaa yangu yuko bush ni mwalimu anajaribu kujisajili kupitia cas kwa kutumia diploma ila tatizo kitufe cha REGISTER hakifanyi kazi,je walimu/wenye diploma za ualimu hawasajiliwi kwa huu mfumo au?MSAADA PLSE JAMAA ANANITEGEMEA KWA MSAADA NAMI NA WATUMAINIA MA GT WA HAPA.
 
Hivi tume ya vyuo vikuu kutuuzia VOCHA zilizo expire tokea 30/9/2011 ni bahati mbaya au kusudi?

Nadhani zilibaki ndo maana wanaziuza tena mwaka huu. Kwani tatizo ni nini wakati zinafanya kazi bado? Au ya kwako imekataa mkuu?
 
sasa nafanyaje kwa hii vocha iliyogoma?pia kumbuka vocha hiyo nimenunua NBC jana.

Mbona yangu haijagoma jamani? Nimeingiza na imekubali kabisa! Loan board vipi? Mi nimeshindwa kupata mwaka wangu wa kuzaliwa.Kwenye net niliyoingi,kwenye "date of birth" kuna 1940 hadi 1987,nami nimezaliwa baada ya hapo. Vipi nitafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…