Greater thinker
JF-Expert Member
- Sep 12, 2011
- 286
- 38
Baada ya miez kadhaa nyuma kupta ambapo wlidondokewa na shavu la kuaalikwa na Mfalme wa R&B nchn marekan..
Wasanii hao pia kutoka kwny nyumba ya vipaji Tanzania wametua nchini leo saa chache zilizopta waktokea nchin marekan kupga show kwny sherehe ya kumkabdhi tunzo mke wa rais wa zamani nchn humo G.W.BUSH bibie L.BUSH..
Katkb haflb hyo T.H.T walipata kukutana na viongoz,wanamicho ngul na wasanii mbali mbali kutoka pande mbalimbali za dunia akiwemo pia nguli wa muziki barani Afrika Angelique Kidjo...
Baadhi ya wasanii hao wa T.H.T waliongukiwa na bahat hyo ni hit maker wa 'Milele daima' barnaba,Jack(huyu anaepga jingle za cloudc fm km tupaa maweee,rediiiooo yaaa watuuuu),ndege mnana linah sanga,na Dogo ditto anaetamba nb kbao chake cha tushukuru kwa yote ...
Haya ni mafanikio makubwa katka anga ya muzik nchn Tanzania..
Big up T.H.T
Big up Ruge Mutahaba...