T.I.D Na Top Band Yake Vipi!?

T.I.D Na Top Band Yake Vipi!?

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
8,191
Reaction score
8,490
Sio siri jamaa kimuziki alikuwa yuko vizuri sana kipindi fulani. Ngoma zake kama Zeze bado nazisikiliza na kuzikubali. Kipindi cha karibuni amekuwa kimya, hivi bado ana-perfom na bendi yake?
 
Kama kawa mnyama yupo na top band yake cheki kwny page ya Instagram huwa anatoa ratiba za kila week end tatizo ukishakua na band ni ngumu kusikia single redio mara kwa mara mfn Banana ht Jide ni recently hapa kaanza kutoa joints.
 
Madawa Noma. Naskia Jamaa anaweza kuzima hata siku nne.
 
Sio siri jamaa kimuziki alikuwa yuko vizuri sana kipindi fulani. Ngoma zake kama Zeze bado nazisikiliza na kuzikubali. Kipindi cha karibuni amekuwa kimya, hivi bado ana-perfom na bendi yake?
zilikuja zikaenda !!zilipendwa
 
Madawa Noma. Naskia Jamaa anaweza kuzima hata siku nne.

Hao watoto wa kinondoni sembe zimeshawaua. Wamedata na hawajitambui. Blue, tid, dogo amini, ndo chaka lilelile la akina marehem ngwea na langa.

Tid fiesta alionekana kachoshwa na sembe ile mbaya.
 
Back
Top Bottom