Sio siri jamaa kimuziki alikuwa yuko vizuri sana kipindi fulani. Ngoma zake kama Zeze bado nazisikiliza na kuzikubali. Kipindi cha karibuni amekuwa kimya, hivi bado ana-perfom na bendi yake?
Kama kawa mnyama yupo na top band yake cheki kwny page ya Instagram huwa anatoa ratiba za kila week end tatizo ukishakua na band ni ngumu kusikia single redio mara kwa mara mfn Banana ht Jide ni recently hapa kaanza kutoa joints.