Fabolous JF-Expert Member Joined Sep 23, 2010 Posts 2,993 Reaction score 3,747 Feb 18, 2012 #1 Nimejiunga na TIOB (Tanzania Institute of Bankers) hivi karibuni nategemea kufanya mitihani mwezi May mwaka huu naomba Great Thinkers ambao ni wanachama wa TIOB au wale waliopitia hii mitihani mbinu za kufaulu vizuri. natanguliza shukrani.
Nimejiunga na TIOB (Tanzania Institute of Bankers) hivi karibuni nategemea kufanya mitihani mwezi May mwaka huu naomba Great Thinkers ambao ni wanachama wa TIOB au wale waliopitia hii mitihani mbinu za kufaulu vizuri. natanguliza shukrani.