T-marc organization

T-marc organization

Rev J

Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
13
Reaction score
0
Wadau wa forum,naomba kujuzwa kama kuna mwenye taarifa juu ya shirika la T-MARC walitoa nafasi za kazi za muda mfupi wa miezi 3,naomba kufahamishwa kuwa wamefikia wapi ktk mchakato wao.
 
wameita watu lini? au hizi nafas zinazotangazwa ni geresha? kigogo uko serious?

NDUGU YANGU NAFASI BADO HATA SHORTLISTING HAIJAFANYIKA. KUMBUKA DEADLINE ILIKUWA 16/12/11 WEEK MOJA BAADAE IKIWA NI WEEK YA MAANDALIZI YA XMAS, kwa hiyo wadau wengi walikuwa wako likizo......bila shaka kuanzia week hii kazi ya uchambuzi itaanza
 
wameita watu lini? au hizi nafas zinazotangazwa ni geresha? kigogo uko serious?

tayari muda tu watu wameanza kazi wiki ya mwisho ya december kaka..yaani watu wameshasaini kandarasi ....
 
NDUGU YANGU NAFASI BADO HATA SHORTLISTING HAIJAFANYIKA. KUMBUKA DEADLINE ILIKUWA 16/12/11 WEEK MOJA BAADAE IKIWA NI WEEK YA MAANDALIZI YA XMAS, kwa hiyo wadau wengi walikuwa wako likizo......bila shaka kuanzia week hii kazi ya uchambuzi itaanza

we unaelewa unachoongea au unabwabwaja tu...mi ndo HRM hapa sasa unataka kufanyia shortlisting watu kwenye bar yako au
 
we unaelewa unachoongea au unabwabwaja tu...mi ndo HRM hapa sasa unataka kufanyia shortlisting watu kwenye bar yako au

u dont deserve kuwa HR.., hata kama ungekuwa HR usingethubutu kutoa kauli kama hiyo jukwaan kweupeei......, kweli fani ya u ' HR' imeingiliwa.... damn ....!
 
kuna rafiki yangu jana ndo kapigiwa aende kwenye interviw. Hii habari yangu ni ya uhakika ila sina evidence ya kuwawekea lakini km mtu uliomba unaweza ukatafuta namba yao halafu ukawadanganya ulikuwa haupatikani kwa muda mrefu sasa unataka kujua km washaita watu utakuwa umepata majibu
 
u dont deserve kuwa HR.., hata kama ungekuwa HR usingethubutu kutoa kauli kama hiyo jukwaan kweupeei......, kweli fani ya u ' HR' imeingiliwa.... damn ....!

we ndo ***** akili zenyewe hamna mnasumbua watu tu hapa kuuliza uliza..si uwatumie email kuwauliza...uza hata chipsi sio lazima ukae ofisini ndo uone una kazi
 
Mdau mi nimeitwa interview ni kesho saa 8 mchana, jaribu kuwasiliana nao
 
Back
Top Bottom