Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni kolo?T-shirt hzo wavaa kabila fulan kama ni mtu wa huko Sawa vaa
Subiri nimuite na mimiMuulize rafiki yake OKW BOBAN SUNZU, sisi wengine hatuna taarifa juu ya hizi tshirt.
Wanavaa wasukuma sio makolo...We ni kolo?
Kwakua wewe sio kolo, hebu tuambie hapa kama unaweza kuvaa aina hiyo ya tshirt.We ni kolo?
Zipo ,nimeziona Mbezi Dsmleo katika pita pita zangu youtube nimeona video moja hivi ndani ya video hiyo kuna msela fulani kavaa T-shirt yenye picha ya fiston mayele nataka kuuliza ndugu zangu.
Hivi ni kweli hizi t-shirt zipo madukani au tu ni jamaa kachapisha mwenyewe?
View attachment 2359512