Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,438
- 6,313
Hawatengenezi feki bali ni kitu yaitwa planned obsolescence, ni kama iphones na smartphones zingine zote, wanaweka muda maalum wa kuisha matumizi ili mnunue vipya tofauti na hapo watakosa mapato mengi hivyo basi kupelekea kukulazimisha mtumiaji wa mwisho kila baada ya muda fulani urudi dukani.Basi walitumia materials original kutengeneza hio taa , siku izi wanatengeneza feki kabisa
Hata huku kiijini kwetu kuna koroboi haijazimika tangu 1960 upepo,mvu na jua bado inawaka!Taa aina ya bulb iliyopo katika state ya California imeendelea kuwaka tangu mwaka 1901 mpaka leo hii 2024, ilitengenezwa na Adolphe Chaillet muanzilishi wa kampuni ya Shelby Electric iliyoanzishwa mwaka 1890.
Kwa kifupi ni haijawahi kuzimwa, inashikilia rekodi za Guiness kama taa iliyosalia kuwaka kwa muda mrefu zaidi duniani.
Wanahakikisha inabaki on kwa maana ikizimwa inaweza isiwake tena.
View: https://www.youtube.com/watch?v=H6DbQeZbwAQ
Sasa zisipoungua wao wakale wapi?Basi walitumia materials original kutengeneza hio taa , siku izi wanatengeneza feki kabisa
Ni sawa na uchaguzi ufanyike kila baada ya miaka 30 ππSasa zisipoungua wao wakale wapi?
Daah mtu kagundua taa miaka 120 imepita harafu wewe mtumia bajaji na boda boda unasema hana akili aisee...mnapata wapi ujasiri wa kutukana wavumbuzi ?...Mtengeneza taa hiyo hakutumia akili ya biashara.
Watu wote wa Dunia wangenunua bidhaa hiyo kiwanda cha huyo jamaa kingefirisika na kufungwa.
Umeme unakatika kama kawaida ila imetengenezewa mazingira ya kutokukosa umeme.Yaani huko umeme haujawahi kukatika kwa miaka yote hiyo? Vimbunga, vita havijawahi fika huko
Huoni tofauti?Daah mtu kagundua taa miaka 120 imepita harafu wewe mtumia bajaji na boda boda unasema hana akili aisee...mnapata wapi ujasiri wa kutukana wavumbuzi ?...
Mkuu mtu anagundua kitu ambacho leo hii Dunia inamzungumzia harafu wewe useme ajatumia akili kweli hapo umefikiri sahihi ? sidhani kama lengo la watu wenye akili ilikua kuuza wao wanagundua vitu wanavyoamini vinawezekana kama hivyo...Huoni tofauti?
Mi nimeongea kibiashara wewe una hoja ya kisayansi.
Fikiria tena
Alitumia akili nyingi sana, ndo maana iko moja tuu .Mtengeneza taa hiyo hakutumia akili ya biashara.
Watu wote wa Dunia wangenunua bidhaa hiyo kiwanda cha huyo jamaa kingefirisika na kufungwa.