Taa hizi zinapatikana wapii?

Taa hizi zinapatikana wapii?

Pirate of Carribean

Senior Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
116
Reaction score
189
Kwema wakuu.? Naulizia nitapata wapii taa za mfumo huu na je unaweza fanya modification kwenye gari yeyote.?
202022990.jpg
 
Mtakua kama mnapigana X-rays vile! Mm dawa yao ninayo, nimesha mchochoreshaga mmoja, na mwingine alinusurika akavunavuna majani akafanikiwa kurudi barabarani huku hana hamu! Unanipiga full nitaonaje mbele zaidi ya kukufuata uso kwa uso[emoji1782]
Hatari hiyo angalia siku utapasuka wewe[emoji28][emoji28]
 
Bahati mbaya ni kwamba anae tembelea full hua hana habari na anae muumiza macho " it fu[emoji2959]s both side "
Yeah mostly kama una taa hafifu ukiwa unapishana na mtu kawasha full lights halafu hajali inaumiza sana macho

Nikiona mtu ana taa hafifu napunguza taa,ila wale wenzangu na mimi tunamulikana vizuri tu we light up the world[emoji362]
 
Kikawaida full lights ni nzuri ukiwa hukutani na mtu,na kama hauoni mbele vzuri jitaidi kuwa mstaarabu unapokutana na mwenzako zima kwa mda kisha washa mkipishana

Kuna watu baadhi wanawasha full mwanzo mwisho,hata umpe ishara ya kuzima hana habari,hasa wa gari ndogo,unakuta kigari chenyewe kidogo kawasha mitaa hiyoooo..unamuonea huruma tu.
 
Dawa kuwa chochoresha tu una bana ile chack mpaka anatembelea kwenye magari! Pumbavu kabisa[emoji2959][emoji34]
 
Dawa kuwa chochoresha tu una bana ile chack mpaka anatembelea kwenye magari! Pumbavu kabisa[emoji2959][emoji34]
Unakuta mtu umechoka mara mitaa hiyo hata kuona vzuri unashindwa,unaweza kufumba hata macho
Kutumia hekima tu,unakuta mtu una tela mbili nyuma unazivuta ,ukitaka kumfanyia uhuni ni sekunde chache tu ,ila unatafakari unaona ni wale wananunua vigari vyao na bado wageni barabarani so unatake easy tu maisha yaendelee
 
Me nawapelekea tu, na c kwamba hawajui, ukisha mpelekea unakuta anapunguza taa sasa kama sio makusudi ninini!
 
Back
Top Bottom