Taa ya ajabu!!!

Inawaka zaidi ya masaa mawili?
Hiyo zaidi nafikiri ikizidi sana ni matatu.
Baada ya hapo inazimika moja kwa moja au?
 
Inawaka zaidi ya masaa mawili?
Hiyo zaidi nafikiri ikizidi sana ni matatu.
Baada ya hapo inazimika moja kwa moja au?

inabidi ubonyeze bonyeze tena na tena...., zipo aina nyingi za kubonyeza na nyingine za kuzungusha yaani
kama saa unajaza ufunguo alafu inafanya kazi ule ufunguo ukiisha inabidi ujaze tena
 
inabidi ubonyeze bonyeze tena na tena...., zipo aina nyingi za kubonyeza na nyingine za kuzungusha yaani
kama saa unajaza ufunguo alafu inafanya kazi ule ufunguo ukiisha inabidi ujaze tena

we ushawahi kutumia?
 
duh! kweli kufa kufaana, sasa elfu 15,000 ndio bei ya kuuzia au ya kuanzia? hii labda itapunguza punguza machungu ya kukatiwa umeme wiki nzima asubuhi mpaka saa 5 usiku....huku wadanganyika wakiwa kimyaaa.

Mkuu OS,
15,000/= ni bei ya kuuzia.

Karibu
 
hapa si mahali pake ndugu yangu...kila mtu akiweka biashara yake kutangaza tutafika kweli.
mods tafadhali angalia uwezekano wa kuondoa matangazo ya biashara kama haya
 
we ushawahi kutumia?
Hapana Husninyo lakini nimeshaona kuna watu wanazo kuna mmoja alinunua Germany na mwingine alitoka nayo Swiss lakini zenyewe ulikuwa haubonyezi bali unazungusha handle alafu zilikuwa more of a torch zaidi ya taa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…