duleikhufa
Member
- Aug 26, 2022
- 6
- 10
P0500 ni speed sensor, na ni shida ya gearbox japo kwenye toyota huwa inawasha check engine kwa shida kama hizo pia sababu ya engine na gearbox kutumia module moja.Husemi ni gari gani halafu unataka msaada, watu wa vibaby walker mna shida sana.
Kwanza hiyo gari hujapeleka kwa mafundi, ulikuwa watu wamepaki magari mabovu wamevaa maovaloli unajuwa ni mafundi lakini hakuna mafundi hapo.
Hilo ni tatizo dogo, nenda garaji yenye diagnosis machine wacheki code ya hiyo sensor ubadili taa itazima.
Kwa kifupi shida ni sensor wanaita DTC P0500 kama sikosei.
Nashukuru sana kaka umenipa wazo.. ubarikiwe sanaHusemi ni gari gani halafu unataka msaada, watu wa vibaby walker mna shida sana.
Kwanza hiyo gari hujapeleka kwa mafundi, ulikuwa watu wamepaki magari mabovu wamevaa maovaloli unajuwa ni mafundi lakini hakuna mafundi hapo.
Hilo ni tatizo dogo, nenda garaji yenye diagnosis machine wacheki code ya hiyo sensor ubadili taa itazima.
Kwa kifupi shida ni sensor wanaita DTC P0500 kama sikosei.
Samahan mambo ya smartphone haya hasa ukiwa hujatulia na kutype.. naomba radhi kama limekukwazaMsaada kwa watu wenye ujuvi
Sijui kama utapata msaada, kwani kichwa chako cha habari hakipo katika muundo wa kupata msaada kwa jinsi ulivyotumia neno ambalo halikustahili kuwepo katika kuomba msaada.
Ujuvi ni hali ya kujifanya kujua kila kitu, ni sawa na kusema ujuaji, ujeuri, ujuba, ufidhuli. Ungeandika, "Msaada kwa watu wenye ujuzi" nadhani ingekuwa sahihi.
Niko mkoani ila ahsante kwa wazo zuri kakaTafuta mtu mwenye mashine ya diagnosis,
Yaani mnahangaika na check engine siku nzima Na hamjui inasababishwa na nini tena kwenye IST?
Na kama upo Dar nipigie 0621 221 606 au 0688 758 625.
IST zote zina OBD IIHiyo IST kama ni ya zamani haina OBDII (pin 16) port. Labda upate mtu mwenye connector ya OBDI (pin 12).
Kama upo jijini mcheki JituMirabaMinne
Hapana sijakwazika ila ndiyo hivyo tena tupo katika kusahihishana pindi tuonapokuwa tumekosea.Samahan mambo ya smartphone haya hasa ukiwa hujatulia na kutype.. naomba radhi kama limekukwaza
Wamekuwa na msaada mkubwa sana. Nashukuru kwa hilo.Hapana sijakwazika ila ndiyo hivyo tena tupo katika kusahihishana pindi tuonapokuwa tumekosea.
Nadhani wajuzi wameshakupa muongozo, tatizo lako litagundulika pindi gari ikifanyiwa scanning na vehicle diagnostic scanner.