BRO SANTANA
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,845
- 2,248
Mkuu mafundi wetu wengi wanaachwa nyuma na mabadiliko ya teknolojia za magari na wengi ni wale wa 'try and error' huwa mara nyingi wanabahatisha.Chukua hyo link hapo kwny link chini ingia google iandike then uisome,hope utapata kwa kuanziaWakuu kwema?
Natumaini hamjambo.
Nilikuja na uzi humu ukisema taa ya check engine inawaka.
Sasa nimepeleka gari kupima kwa kompyuta imeandika hv:
Cam shaft position sensor circuit range.
Jamaa alichofanya akaizima taa na kuchomoa sensor na kurudishia tena.
Nikaondoka zangu.
Baada ya km 3 taa ikawaka tena.
Sasa sijui tubadilishe hiyo sensor maana inaonekana jamaa kama anabahatisha hv.
Sina uhakika kama hiyo sensor anaijua ilipo.
Msaada wakuu hiyo sensor inapatikana sehemu gan gari yangu ni vvti toyota runx
www.yourmechanic.com/articles/symptoms-of-a-bad-or-failing-camshaft-position-sensorMkuu mafundi wetu wengi wanaachwa nyuma na mabadiliko ya teknolojia za magari na wengi ni wale wa 'try and error' huwa mara nyingi wanabahatisha.Chukua hyo link hapo kwny link chini ingia google iandike then uisome,hope utapata kwa kuanzia
Majibu yapo mkuu kwa hiyo link
Yap!tembelea hyo link,sorry nilisha google ndo nikapata hyo linkMajibu yapo mkuu kwa hiyo link