TAA YA CROWN ATHLETE INAUZWA!!!

TAA YA CROWN ATHLETE INAUZWA!!!

ngoja ngoja

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
673
Reaction score
1,526
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Jana pasipo bahati maeneo ya posta clock tower mtaa wa indira gandi nimeigonga crown Athlete upande wa kulia taa ya nyuma. nilikua nina canter na gari imepaki karibu na kona hivyo tairi ya nyuma ikaigonga lensi ya taa hiyo wakati nakata kona.

Taa ni nzima na lensi yake nimeinunua iko pia hivyo fundi ataiunganisha tu na itaendelea kupiga kazi kama kawaida.

Uzuri zaid taa bado mpya na haina mchubuko wowote.
Bei ni Shilingi 100,000 (laki moja)
 

Attachments

  • IMG-20240928-WA0022.jpeg
    IMG-20240928-WA0022.jpeg
    396.1 KB · Views: 10
Back
Top Bottom