Sababu ziko nyingi zinazo changia check engine kuwaka kama oxygen sensor, mass air flow, ignition coil, hasa kwa haya magari ya umeme jaribu kufanya diagnosis siyo garama sana utapata jibu la uwakika zaid na kutengenez kitu sahihiHabari Wakuu..nina magari mawili Toyota Run x na Kulger.
Magari yote mawili yana changamoto ya kuwasha taa ya Engine nikitembea distance fulani..Yani sio kwamba inawaka muda uleule nikiwasha gari labda nikitembea kilometers kadhaa ndio unakuta inawaka.
Hii Run x ni ndani ya siku moja ndio huwa inawaka ila kulger inaweza kupita hata week haijawaka,ila siku usiyotarajia unashanga tu imewaka.
Nini inaweza kuwa shida kwa magari yote tafadhari.
Nawasilisha.