Taa ya nyuma ya harrier g420 bei gani?

Taa ya nyuma ya harrier g420 bei gani?

Paa

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
1,462
Reaction score
2,935
Naulizia bei ya kile kitaa kidogo cha chini cha harrier upande wa nyuma
Picha


IMG_20210601_075214.jpg
 
Yani hapo nikiongeza 250000 nanunua injini mpya naweka kwenye Fekon yangu.aisee kumbe mimi nitaendesha pikipiki maisha yangu yote..☹😨🥺
mkuu tusikate tamaa namna hiyo😁😅
 
Back
Top Bottom