Taa ya over drive (o/d)inawaka kwa kublink na gia zinaingia kwa kuchelewa

warzone

Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
47
Reaction score
105
Habari wakuu,

Mimi nina oasso yangu inawaka taa ya OD pia inablink na gia zinaingia kwa tabu kwa kushituka, mafundi walibadil vvti sensor inaacha halafu inarudi vilevile, naomba alie wahi solve hilo tatizo anisaidie alisove vipi au kama kuna mafundi naomba msaada
 
Wewe upo mkoa gani? Kama upo DAR nenda Kwa mafundi wenye uwezo mkubwa kama pale tabata dampo watakusaidia.
Hilo tatizo ni gear box ina shida, ishu za kubadilisha sensor ni uongo Tu kama gear zinaingia Kwa shida Hilo ni tatizo la gear ndani
 
nipo dodoma mkui .mafundindi wakiweka vvti taa inazima na tatizo linaisha ila likipata joto inaendelea tena
 
Habari wakuu,

Mimi nina oasso yangu inawaka taa ya OD pia inablink na gia zinaingia kwa tabu kwa kushituka, mafundi walibadil vvti sensor inaacha halafu inarudi vilevile, naomba alie wahi solve hilo tatizo anisaidie alisove vipi au kama kuna mafundi naomba msaada
speedometer inafanya kazi?
 
nipo dodoma mkui .mafundindi wakiweka vvti taa inazima na tatizo linaisha ila likipata joto inaendelea tena
Wakiweka VVTI!!!

Yaani mafundi hata Passo wameshindwa kutatua tatizo@

Ulibadili hydrolic oil ya gear box?
 
Back
Top Bottom