The Watchman JF-Expert Member Joined Nov 7, 2023 Posts 2,186 Reaction score 4,940 Apr 21, 2026 #1 Hapa ni Arusha mataa ya Sakina Triple A / Arusha technical, Ni zaidi ya miezi minne taa hazifanyi kazi. Tunaomba jiji lishughulikie hili tatizo. Majibu ya Mamlaka ~ TANROADS: Taa za eneo la Tripple A haziwaki kutokana na hitilafu, Tunaomba radhi, tutafunga vifaa vya kisasa
Hapa ni Arusha mataa ya Sakina Triple A / Arusha technical, Ni zaidi ya miezi minne taa hazifanyi kazi. Tunaomba jiji lishughulikie hili tatizo. Majibu ya Mamlaka ~ TANROADS: Taa za eneo la Tripple A haziwaki kutokana na hitilafu, Tunaomba radhi, tutafunga vifaa vya kisasa