KERO Taa za bodaboda zenye kuwasha rangi nyingi ni kero na hatari

KERO Taa za bodaboda zenye kuwasha rangi nyingi ni kero na hatari

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Joined
Jun 16, 2024
Posts
45
Reaction score
56
Taa za boda zinazo badilikabadilika rangi zimekuwa kero na usumbufu kwa watembea kwa miguu na watumiaji wengine wa vyombo vya moto.

Likini pia taa hizo ni hatari sana kwa watu wenye tatizo la kupata degedege (wataalamu wa afya wanaelewa) kumekuwa na ongezeko kubwa la bodaboda zenye taa zinazobadilika badilika rangi niwachache sana wanaziwasha wakiwa wamepaki kwenye vituo lakini wengi wanaziwasha wakiwa wanaendesha boda nyakati za usiku.
Ushauri: bodaboda wapewe semina mbalimbali za matumizi ya vyombo vyao na sheria za barabarani maana asilimia kubwa ya boda wanajifunzia mitaani hawana elimu ya vyombo vyao.

Lakini pia boda zenye aina ya taa hizo zishughulikiwe mapema sana kiukweli zinakera.

20240724_162505.jpg
 
Back
Top Bottom