Taa zote za gari tena hizi Zinazoonekana ni Plastic ambazo zimetengenezwa kwa material ya polycabornate Zote hata zikiwa mpya inafika hatua zinakuwa na Oxidation, Ukungu, kufubaa, Unjano na kupauka tofauti ni muda kutokana na mazingira Taa Used Au Mpya zote zitakuwa na hali hio. Taa ambazo haziwezi kuwa hivyo ni taa zenye material ya glass tu. Sababu ya kupelekea Taa za gari yako kuwa na ukungu,unjano, kupauka ni Moja Kupigwa na Jua Sana pili Maji na Uchafu tatu Sabuni za Unga wanazotumia waosha magari japo hii hupelekea sana TAA KUPAUKA.
Sasa Kama wewe Una Gari na taa zake zimekuwa katika hali hio hapo juu basi usiwaze tena kununua taa mpya bali Natoa Huduma ya Kusafisha TAA hizo na kuzirudisha katika Hali yake ya Mwanzo kwa kutumia teknolojia ya Kisasa na Kwa gharama nafuu kabisa ya Shilingi Elfu 35 tu Na Taa zako kurudi katika Ubora wake Na Mara baada ya kuzirudisha katika hali Inachukua Minimum Mwaka Mmoja Kurudi tena katika Hali ya kuwa na unjano, kupauka au kufubaa.
Ukihitaji huduma hii Unaweza kunipigia simu kwa Namba 0712 390 200 au unaweza kutembelea ukurasa huu Instagram kwa kuona baadhi ya kazi zangu
https://www.instagram.com/tanzania_headlight_specialist/