Wakuu.. Week iliyopita niliibiwa taa za mbele za gari aina ya Toyota Spacio.
Fundi wangu anashauri tununue/tuweke Taa USED kwa sababu huwa hazipauki,na anasema taa mpya za dukani zinachuja rangi na kufubaa mapema.
Any ideas wakuu.... Kuna ukweli katika hilo ?
Hizo taa used ziliwahi kuwa mpya.Wakuu.. Week iliyopita niliibiwa taa za mbele za gari aina ya Toyota Spacio.
Fundi wangu anashauri tununue/tuweke Taa USED kwa sababu huwa hazipauki,na anasema taa mpya za dukani zinachuja rangi na kufubaa mapema.
Any ideas wakuu.... Kuna ukweli katika hilo ?
Ukipata mpya original ni poa zaid ila kama ni mpya feki funga used from Japan
Mkuu, naomba nikupongeze kwa kumiliki mkebe in town...[emoji4][emoji4]Wakuu.. Week iliyopita niliibiwa taa za mbele za gari aina ya Toyota Spacio.
Fundi wangu anashauri tununue/tuweke Taa USED kwa sababu huwa hazipauki,na anasema taa mpya za dukani zinachuja rangi na kufubaa mapema.
Any ideas wakuu.... Kuna ukweli katika hilo ?
Nashukuru sana mkuuMkuu, naomba nikupongeze kwa kumiliki mkebe in town...[emoji4][emoji4]
By the way sina la kukushauri kuhusu mkoko zaidi ya kongolee....[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo 35000 ni kwa taa zote au taa moja ?Taa zote za gari tena hizi Zinazoonekana ni Plastic ambazo zimetengenezwa kwa material ya polycabornate Zote hata zikiwa mpya inafika hatua zinakuwa na Oxidation, Ukungu, kufubaa, Unjano na kupauka tofauti ni muda kutokana na mazingira Taa Used Au Mpya zote zitakuwa na hali hio. Taa ambazo haziwezi kuwa hivyo ni taa zenye material ya glass tu. Sababu ya kupelekea Taa za gari yako kuwa na ukungu,unjano, kupauka ni Moja Kupigwa na Jua Sana pili Maji na Uchafu tatu Sabuni za Unga wanazotumia waosha magari japo hii hupelekea sana TAA KUPAUKA.
Sasa Kama wewe Una Gari na taa zake zimekuwa katika hali hio hapo juu basi usiwaze tena kununua taa mpya bali Natoa Huduma ya Kusafisha TAA hizo na kuzirudisha katika Hali yake ya Mwanzo kwa kutumia teknolojia ya Kisasa na Kwa gharama nafuu kabisa ya Shilingi Elfu 35 tu Na Taa zako kurudi katika Ubora wake Na Mara baada ya kuzirudisha katika hali Inachukua Minimum Mwaka Mmoja Kurudi tena katika Hali ya kuwa na unjano, kupauka au kufubaa.
Ukihitaji huduma hii Unaweza kunipigia simu kwa Namba 0712 390 200 au unaweza kutembelea ukurasa huu Instagram kwa kuona baadhi ya kazi zangu
https://www.instagram.com/tanzania_headlight_specialist/
Kwa Taa zote za Mbele Isipokuwa fog lights. (Headlamp Only)Hiyo 35000 ni kwa taa zote au taa moja ?