Ukinunua taa za joto kuanzia 5 utakutana na offer ya
1. KITABU CHA PUNGUZA GHARAMA ZA UFUGAJI BURE ( HARD COPY ) NA SOFT COPY VITABU 20
2. HOLDER 2 BURE
Bila kusahau wanunuzi wa jumla wana offer yao pia
Hizi ni taa maalum kwaajili ya kulelea vifaranga na nguruwe wadogo pia.
π» Zinaweza kutoa joto la kutosha hadi kwa vifaranga π―
π» Zinadumu sana bila kuungua
π» Haziathiriwi na maji
π» Hazilipuki
Usikubali kupitwa na offer hii ya nane nane itakayoisha tarehe 10 August
πTupo Dar es salaam, Kkoo, Kinondoni na Tegeta, ila tunatoa huduma nchi nzima
π Delivery at cost ipo popote nchini.