KERO Taa za kuongoza magari barabara ya Iringa - Morogoro ni mbovu na kupelea ajali

KERO Taa za kuongoza magari barabara ya Iringa - Morogoro ni mbovu na kupelea ajali

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mataa ya barabara ya Iringa - Morogoro ni mabovu, huwa muda mwingi yamezima na ni hatari. Vyombo vya usafiri vinapita kwa kuviziana. Magari, pikipiki na bajaj ajali nyingi zinatokea.

Mamlaka husika watatue hii changamoto .
 
Back
Top Bottom