Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Naomba hapa nizungumze kiujumla jumla.
Hizi taa za kuongozea magari Tanzania, hususan Dar es Salaam, ni za kazi gani hasa?
Kuna mambo nadhani huwa tunayalazimisha ambayo kiuhalisia hayapo kwenye DNA yetu.
Machache kati ya hayo ni ustaarabu na ufuataji wa sheria tunazojiwekea sisi wenyewe.
Ustaarabu ni dhana pana sana. Sipo hapa kuijadili kwa kina, mapana, wala marefu yake.
Ila mtu unapokuwa umeenda dukani, sokoni, benki, au sehemu yoyote ile kwenda kupata huduma, ukimkuta mtu mbele yako anayesubiri huduma, kwenda mbele yake na kujichomeka kana kwamba wewe una haraka sana, ni tabia ya kishenzi.
Mimi nimemkuta mtu mbele yangu, sikujichomeka mbele yake. Nimesimama nyuma yake mpaka zamu yangu ifike. Linakuja jitu linakatiza wote waliosimama kwenye mstari linaenda moja kwa moja kwa mtoa huduma!!
Ustaarabu gani huo? Ustaarabu wa wapi huo?
Talk about fcuking around and finding out….somebody is going to find out very soon.
Unaendesha gari barabarani. Umefika kwenye taa na nyekundu zimewaka.
Unasimama kusubiri mpaka za kijani ziwake uendelee na safari yako.
Linakuja jitu nyuma yako linaanza kukupigia honi kana kwamba unachofanya ni kosa.
Seriously?
Yaani mbele ya jamii kufuata sheria ni kosa na kuvunja sheria ndo utaratibu unaokubalika.
Nahisi kama vile Watanzania walio vilaza ni %99.00 ya Watanzania wote.
Hiyo %1.00 iliyobaki nimekuwa mkarimu tu 😀.
Uhalisia ni %99.99.