Taa za Magari (Projector lights)

Taa za Magari (Projector lights)

ProBook

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
559
Reaction score
264
Wakuu poleni na shughuli..

Naomba kuukiza swali kuhusu hizi taa za magari wanaziita projector system with Angel eyes.. Kwa ambao wameziweka kwa magari yao haoa Tanzania.. Je zina mwanga mkali usiku wa kutosha.. Na Je Durability yake ikoje.. Zinakaa muda gani.. Kwa maeneo ya Arusha, mbeya na DSM ni wapi ndo wafungaji wa hizo taa wazuri.. Naatach pich mzione..
IMG_20170925_221441.jpg
IMG_20170925_221355.jpg
IMG_20170925_221326.jpg
IMG_20170925_221232.jpg
IMG_20170925_221212.jpg
IMG_20170925_221134.jpg
IMG_20170925_221107.jpg
 
Wakuu poleni na shughuli..

Naomba kuukiza swali kuhusu hizi taa za magari wanaziita projector system with Angel eyes.. Kwa ambao wameziweka kwa magari yao haoa Tanzania.. Je zina mwanga mkali usiku wa kutosha.. Na Je Durability yake ikoje.. Zinakaa muda gani.. Kwa maeneo ya Arusha, mbeya na DSM ni wapi ndo wafungaji wa hizo taa wazuri.. Naatach pich mzione.. View attachment 595783View attachment 595784View attachment 595785View attachment 595786View attachment 595787View attachment 595788View attachment 595789
Mwanga wake ni ka taa za chemli , zile tulizokua tunatumia mafuta ya taaa ka source ya energy
Mbeya - ileje
Dsm - kwa mtogole
Arusha - karatu
 
Wataalamu.. Nasubiria michango jamani
 
Mwanga wake ni ka taa za chemli , zile tulizokua tunatumia mafuta ya taaa ka source ya energy
Mbeya - ileje
Dsm - kwa mtogole
Arusha - karatu
Mbuzi wewe unaleta utani
Na kwa taarifa yako Ileje iko Songwe(sio Mbeya) na Karatu iko Manyara(sio Arusha)

Mbuzi mkubwa wa mayai.
 
Hizi taa hata Mimi nazipenda Sana. Nikijua sehemu wanafunga ntaenda kununua. Zinapendezesha Sana gari
 
Kariakoo mtaa wa Lumumba zinapatikana hizo taa kwenye maduka ya car accessories.
 
Umekuja pahala husika, JF where everyone owns a car! Natumai utapata majibu mujarrab.
 
Mkuu hizi usiangaike kufunga nilipita kwa mtaalam mmoja wa mambo ya decoration za gari aliniambia ni nzuri kwa muonekanao ila usiku hazina mwanga kabisa,yeye alifunga kwenye gari yake bt ikambidi afungue
 
Back
Top Bottom