Taa za tafadhali zinazowaka kwenye dashboard ya gari yako.. Check engine, abs light, airbag light 4wd an nk

Taa za tafadhali zinazowaka kwenye dashboard ya gari yako.. Check engine, abs light, airbag light 4wd an nk

Joined
Apr 23, 2019
Posts
23
Reaction score
31
✓Watumiaji wengi wamejikuta wakiingia kwenye matatizo makubwa kwenye gari zao kwa kusababisha wao wenyewe bila kujua...!!!

✓Kivipi? Gari nyingi za kisasa Huwa zinatoa taarifa ya changamoto ya chombo kabla halijawa kubwa.. Sasa kitendo cha kuipuuzia pasipo kuchukua hatua kwa wakati ndio inapelekea gari kupata changamoto zaidi.

Tafadhali usipuuzie taa yoyote ya tahadhali inayowaka kwenye dashboard ya gari yako.... Wasiliana nami kupata maoni ushauri au nini cha kufanya ili kutatua changamoto kwenye gari yako

Simu: 0659-717838
img-89897861-1514493468710.jpg
View attachment 2853604
 
Back
Top Bottom